Juhudi za wasamaria wema kusitiri miili ya watu hao zinaendelea kufanyika eneo la ajali ikiwa ni pamoja na kuwakimbiza Hospitali kwa uhakiki wa madaktari..
![]() |
| Huzuni imetanda kwa ndugu waliofika eneo la tukio kama mama huyu anayesaidiwa baada ya machungu kumwingia. |
Dereva wa gari hilo alitokomea kusiko julikana mara tu baada ya kusababisha ajali hiyo.
Taarifa @Bernard James.
Tupe maoni yako



0 comments:
Post a Comment