Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizindua mfuko wa kuweka na kukopeshana ujulikanao kama Vikoba, kushoto anaonekana Rais wa Vikoba Tanzania Bi. Devota Likokola akihamasisha kuwa mfuko huosi kwa wananchi wa mijini tu bali hata vijijini.
Mstahiki Meya Mhe. Mabula ameahidi kuwapatia wadau hao wa Vikoba kuwapatia kiwanja kwa ajili ya kujenga ofisi. PICHA NA ZEPHANIA MANDIA.
WAZIRI MKUU AMPONGEZA MKURUGENZI KONDOA MJI
-
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amempongeza Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa kwa usimamizi, utekelezaji wa
mradi wa ujenz...
Msizuie wanafunzi kufanya Mitihani - Dkt. Mwigulu
-
**Asema Serikali itaendelea kuongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu*
* WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za elimu nchini
kutowazuia wa...
0 comments:
Post a Comment