![]() |
| Safu ya baadhi ya wafanyakazi wa Metro Fm ndani ya kikao hicho. |
![]() |
| Kutoka kulia ni Dj Victor, Tommy Alphonce na Jackob Usungu ambaye alikuwa akishirikiana na marehemu kufanya kipindi kimoja cha muziki wa Afrika kilichokuwa kikiruka majira ya jioni kikitikisa hasa. |
![]() |
| Marehemu Dj Alex anatarajiwa kuzikwa leo (jumatano) nyumbani kwao wilayani Bunda mkoani Mara. |
Tupe maoni yako





0 comments:
Post a Comment