Familia ya Bw & Bi David Simba wa Mwanza Tanzania wakiwa na furaha kubwa wanamshukuru Mungu kwa mtoto wao kipenzi aitwaye Rainha kwa kutimiza umri wa mwezi mmoja na nusu, wakiwa na matumaini kuwa Mwenyezi Mungu ataendelea kuwalinda na kuwapigania katika malezi hatimaye kuwa na mwana bora wa familia na jamii kwa ujumla. Wanasema aksante kwa wale wote majirani, ndugu na marafiki wa kweli wanao wakumbuka kwa sala na maombi. Wakihitimisha kwa kusema Mungu awabariki..... Amen.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment