![]() |
| Ni nyumba zinazojengwa na Taasisi ya Benjamin Mkapa HIV/AIDS Foundation kwaajili ya wafanyakazi wa vituo vya Afya Nyakahura kilomita 10 toka mizani Nyakahura. |
![]() |
| Mafundi wakiendelea na ujenzi wa nyumba za Taasisi ya Benjamin Willium Mkapa zilizoko Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera na hapa ni katika harakati za upauaji. |
![]() |
| Ujenzi unendelea kwa kasi. |
![]() |
| Bango elekezi kwa kituo. |
![]() |
| Kituo cha Afya. |
![]() |
| Picha zote kwa hisani ya mdau namba moja aliye katika eneo la tukio Mr. Eddie Ngwasuma. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment