Dr Slaa HAFAI kuwa Raisi wa Tanzania 2015-2020 Dr Slaa ni Miongoni mwa Wanasiasa Wakongwe na Machachali Hapa Nchini.Harakati zake Zimeanza Zamani, Tangu Akiwa Mtumishi wa Kanisa Katoliki (Padre) na Baadae Akafukuzwa Baada ya Kuonyesha Utovu wa Nidhamu, Inasemekana Haka Kamchezo Katamu Kalikuwa Chachu ya yeye Kufukuzwa Upadre.
Nimekuwa Nikijiuliza,
1. Hivi Huyu Dr Slaa Alianza Kuwa na Ndoto za Kuwa Raisi wa Nchi Hii Tangu Lini??Maana mimi Nafahamu Alikuwa Padre, sasa Mapadre na Uraisi katika nchi hii wapi na wapi??Maana Mapadre Wameapa Kuwa Watumishi wa Mungu hadi Kufa kwao…..Sasa Huyu Dr Slaa Kabla ya Kuwa Padre Alikula Kiapo Kipi??
Na Kama aliapa kuwa Mtumishi wa Mungu (Padre) na Akashindwa…Anawezaje Kunishawishi Ataweza Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Kipindi cha Miaka Mitano? Lakini Pia Nimekuwa Nikijiuliza
2. Hivi ni Kipi Alichokifanya Dr Slaa Hata awashawishi Watanzania Hususani Vijana Kumpigia Kura ili awe Raisi wa Nchi Hii??Maana Mimi Namfahamu Dr Slaa Kama Mlopokaji,Mtu Mwenye Jazba, Mvunja Ndoa za Watu, Ndumila Kuwili Maana Upadre anautaka, Uccm anautaka na Uchadema anautaka Pia…Msela Maana Hadi leo Hajaoa Licha ya Kuwa na Miaka 72.
3. Jamani Hivi ni kweli Tumekosa Watanzania Wazalendo,wenye Historia nzuri ,Wenye Elimu na Wachapa Kazi,Wasio na Kashfa za Ubakaji Hadi Tumchague Dr Slaa kuwa Raisi wa Nchi Hii?? Ikumbukwe ya Kwamba, Dr Slaa Alilazimishwa Kugombea Uraisi kwa Ticket ya Chadema mwaka 2010, yeye Hakutaka, Alikuwa Anajua Kabisa Hawezi Kushinda ndio Maana Aliilazimisha Chadema Kuingia MKATABA wa Kumlipa Mshahara na Posho kama Wabunge endapo Atashindwa kwenye Kinyang’anyiro Hicho.
4. Hebu Tujiuliize Pia..Hivi Historia ya Dr Slaa Inatushawishi Kumchagua Kuwa Raisi wa Nchi Hii?? Maana mimi naona Hostoria yake Imepindapinda kama Zigzag Line……. Kiukweli Kabisa,Dr Slaa ni Mroho wa Madaraka,Mbinafsi kama Freeman Mbowe…ndio maana Alivyokatwa jina lake katika kura za maoni ndani ya CCM mwaka 1995 Akaamua Kukimbilia Chadema.Huwezi Kusema Dr Slaa Anaipenda Chadema Maana Bila Kukatwa jina,asingekuwa Chadema Hivi Leo….
UFUPISHO
Dr Slaa Hafai Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Sababu
1. Sio Muaminifu, Haaminiki Sio kwenye Masuala ya Kiutawala tu bali hadi kwa Vimada wake..
2. MUHAFIDHINA, Akichaguliwa, Hata Kubali Kutoka Madarakani,atakuwa King’ang’anizi kama Museven…
3. Hana Uwazi, Ameshindwa Kusimamia Usomwaji wa Taarifa ya Mapato na Matumizi ndani ya Chadema…
4. Mgonjwa, Anaumwa Kisukari na Pressure Taifa Linaweza Kula Hasara za Kufanya Uchaguzi Mwingine Katikati ya 2015-2020 Maana Afya ya Mtu Huyu ni kama Mvua za Dodoma.
Vijana Tutafakari kwa Kina….Nani Anatufaa Lakini Tusipoteze Muda Kumfikiria Dr Slaa…Viva Vijana Vivaaaaa……..
CHANZO: http://www.jamiiforums.com/
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.