![]() |
| Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo. |
![]() |
| Ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ukimsikiliza waziri. |
![]() |
| Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakifuatilia mkutano huo. |
![]() |
| Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel, Bw. Oliver Mehl akitoa maelezo juu ya ujio wao na kuelezea mambo watakayoyafanya. |
Tupe maoni yako





0 comments:
Post a Comment