![]() |
| Huu ni msafara wa mmoja kati ya wagombea uchaguzi wa Rais wa Serikali ya wanafunzi Chuo cha Biashara CBE Mwanza. |
![]() |
| Hapatoshi. |
![]() |
| Mazingira ya Chuo. |
![]() |
| Kama kuna viashiria fulani hivi... au macho yangu? |
![]() |
| Wagombea Mashariki. |
![]() |
| Wagombea Magharibi. MATOKEO TUTAYAANIKA HAPA HAPA @gsengo. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment