Kati ya Wanasiasa wenye msimamo usio yumba, wanajiamini na kusimamia sera za chama chake. Tangu nimemjua Wassira amekuwa kiongozi anaetekeleza kwa vitendo sera za chama na serikali, kuanzia jimboni kwake mpaka nafasi zote alizowahi kuongoza. Haya bado yamejidhihirisha katika bunge hili la katiba. Huyo ndie Wassira! msikilize.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.