ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, March 15, 2014

MANISPAA YA ILEMELA NA DIWANI WA KIRUMBA THIS IS TOO MUCH.

Kirumba hatupumui hii ndiyo hali halisi ya dampo lililo katika uwanja wa Furahisha ambapo hali ni tete,, uchafu huu licha ya kusimikwa kwenye moja ya engo za uwanja huu, ukimega kiwanja cha michezo na mikutano, uchafu huo sasa unaitafuna barabara ya mtaa huu kiasi cha kutaka kuingia kwenye makazi ya watu. 
Kutoka chini tope za taka zikiwa na funza na wadudu hatari ambao ni chanzo cha maradhi limeanza kuigia hata kwenye barabara ya lami ya kuelekea sokoni.
Uchafu usiozolewa.
Barabara imekuwa uchochoro.
Barabara yenyewe.
Mzigo mwingine huooooo!!!.
Pembezoni mbele kuna hoteli na hapa kinachoonekana kulia ni nyumba ambayo ni makazi halali ya mwananchi ambaye kajitutumua kwa kila hali kunakshi mji kwa kujenga nyumba nzuri yenye bustani safi ya kutunza mazingira.... mmmm inasikitisha.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.