![]() |
| Ni wakati wa furaha nazo tabasamu hazijifichi....!!! |
![]() |
| Kutoka bega la Bwana harusi taswira ya Bi. harusi Martina Makinga. |
![]() |
| Shining like no body. |
![]() |
| Off cause jibu lilikuwa 'NDIYO' |
![]() |
| Na hapa pia 'NDIYO' Kisha shangwe zikapazwa na kusikika kiasi cha mita 700 na ushee!! |
![]() |
| Si wawili tena bali ni Mwili mmoja. |
![]() |
| Bwana harusi. |
![]() |
| Bibi harusi. |
![]() |
| Mara baada ya kukamilisha taratibu zote za ndoa kanisani ... Bonge la Part lilipigwa mida ya jioni hivi likihusisha vyakula na vinywaji vitakatifu vya kila aina. |
![]() |
| Blogu hii (GSENGO) inawatakia kila la kheri Zaky na Martina katika maisha mapya ya ndoa, Mungu awaongoze na kufanikisha kila jema na la haki mnalolihitaji. |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment