Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi, Februari 15, 2014.Picha na IKULU |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi, Februari 15, 2014. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na msanii wa vichekesho ambaye pia ni mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) akiwa na mwasisi wake Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi, Februari 15, 2014 |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.