![]() |
Ni baadhi ya bidhaa za makapeti zinazo patikana ndani ya Home Shopping Centre |
![]() |
Pajama kwa ajili ya watu warika zote. |
![]() |
Mavazi ya watoto na bidhaa nyingi full kiwango ziko hapa. |
![]() |
Mataulo, mashuka na bidhaa nyingi nyingi zenye viwango full cotton sasa zinapatikana Home Shopping Centre Mwanza. |
![]() |
Vitanda vya kisasa, makabati ya kileo, mashuka, mapazia na thamani mbalimbali za ndani ziko hapa Home Shopping Centre Mwanza. |
![]() |
Makochi na furniture za aina zote utapata. |
![]() |
Vitanda. |
![]() |
Mashuka, mapazia, na kadhalika. |
![]() |
Furniture full house. |
![]() |
Makapeti ya sampuli zote. |
![]() |
Litapendezesha ama nyumba yako au ofisi yako. |
![]() |
Home Shopping Centre inaibadilisha sebule yako. |
![]() |
Bidhaa zote. |
![]() |
Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Ahmed Ally Said akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza kuhusiana na uwekezaji wake uliofanyika. |
![]() |
Akijiamini kwa kuwekeza katika bidhaa bora pichani mbele ya kamera ni Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Ahmed Ally Said. |
![]() |
Bidhaa madhubuti. |
![]() |
Hapo vipi? |
![]() |
Vipi sebule yako ikiwa na maandari kama hii? |
![]() |
Mashuka na vyombo vya majumbani kwa bei nafuu kabisa. |
![]() |
Home Shopping Centre Mwanza inapatikana barabara ya Makongoro kribu na daraja la Mto Mirongo karibu na ofisi za Mamlaka ya Maji safi na maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA). |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.