ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 8, 2014

HAWA HAPA VIONGOZI WAPYA WA TOTO AFRICANS.


Hatimaye Uchaguzi Mkuu wa Club ya Toto Africans ya jijini Mwanza yenye maskani yake mtaa wa Kishamapanda umefanyika hii leo na klabu hiyo kufanikiwa kupata safu mpya ya uongozi.

Uchaguzi huo umefanyika baada ya shinikizo toka TFF kuitaka klabu hiyo kufanya uchaguzi haraka kwa kufuata katiba kama inavyo elekeza ili kutowapa nafasi viongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu bila kufanyika uchaguzi.

Sports Xtra imezungumza na msemaji wa uchaguzi huo Kahabuka S. Bijumula. (MSIKILIZE KWA KUBOFYA PLAY HAPO JUU)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.