|
Kamishina wa Bima nchini Tanzania, Israel Kamuzora (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
|
Mkurugenzi Mkuu wa UAP Group, Dominic Kiarie (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
|
Kamishina wa Bima nchini Tanzania, Israel Kamuzora akizungumza na wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
|
Mkurugenzi Mkuu wa UAP Group, Dominic Kiarie akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
|
Mkurugenzi Mkuu wa UAP Group, Dominic Kiarie (katikati), Kamishina wa Bima nchini Tanzania, Israel Kamuzora na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania, Nick Itunga wakiteta jambo wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
|
Wageni waalikwa wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa UAP Group, Dominic Kiarie (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
|
Wageni waalikwa wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa UAP Group, Dominic Kiarie (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya makampuni ya kibiashara iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya UAP Century Tanzania iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salam jana. |
Tarehe 27 Januari, 2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UAP GROUP YAELEZEA MIPANGO YAKE KWA KAMPUNI YA BIMA YA CENTURY NCHINI TANZANIA
UAP CENTURY TANZANIA leo imeandaa hafla ya Ushiriakiano wa kibiashara katika kujadili mipango ya UAP’s kimasoko nchini Tanzania. Uwekezaji huu ulifanyika na Kampuni ya UAP na mpango huu ulikamilishwa mwaka 2013.
UAP imewekezeza Bilioni 9 katika kampuni ya Bima ya Century ili kuwezesha kupanuwa wingi wa matawi yake nchini Tanzania na hii itapelekea uboreshaji wa huduma kuendana na matakwa na mahitaji kwa wateja katika soko la Nchi.
Akizungumza wakati wa tukio hilo iliyofanyiaka katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam Mkurugenzi mkuu wa UAP Group, Mr. Dominic Kiarie alisema uwekezaji huo Nchini Tanzania utawezesha zaidi Kampuni hiyo kujikita katika Sekta za Kilimo, Madini na maswala ya Anga.
Kampuni ya UAP kwa sasa inaajiri raia wa Kitanzania katika kujiunga na kundi la ukuzaji wa vipaji kupitia mpango wa Maendeleo katika uzamili wake. Pia wafanyakazi wa Bima UAP Century watafaidikia na mpango wa maendeleo ambao umepangwa na Kampuni hiyo.
Additional Notes:
UAP Group is a pan-african financial services group with interest in insurance, investment management, property development and investments, securities brokerage and financial advisory.
Currently UAP Group has 12 businesses in the East African region in Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, DRC and South Sudan.
-End -
For further information please contact:
Pauline Ndirango
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.