ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 15, 2014

PAMBA YAMREJESHA MWANZA GEORGE MASATU.

Afisa Habari wa Pamba Sports Club Cuthbert Japhet (kushoto) akizungumza na Albert G. Sengo wa Clouds Fm Sports Xtra.
Kuelekea ungwe ya pili ya lala salama ya Ligi soka daraja la kwanza Tanzania Bara ambayo itakwenda kutoa ripoti kamili kwa timu zitakazo tinga Ligi kuu ya Premium, timu ya soka ya Pamba ya jijini Mwanza imeboresha safu yake ya ufundi kwa kumweka katika benchi la ufundi kocha mpya kwa timu hiyo Abdala Mwigane naye mchezaji wa zamani wa klabu hiyo George Magere Masatu aliyekuwa akifundisha soka katika academy za Arsenal nchini Uingereza ameteuliwa kuwa kocha msaidizi.

Sports Xtra imezungumza na afisa habari wa Club ya soka ya Pamba ya jijini humo, Cuthbert Japhet naye anatiririka hivi kutoka Mwanza....(ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA )

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.