ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, January 16, 2014

NI BIASHARA MBELE YA BIASHARA KITUO CHA MABASI ZAMANI TANGANYIKA.

Hii ni hali halisi inayoendelea katika eneo la kituo cha zamani cha mabasi stendi ya Tanganyika jijini Mwanza, wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama wamachinga wamepanga bidhaa zao mbele ya maduka yaliyopanga katika eneo hili.
Unahitaji umakini sana kupita kandokando mwa maduka lasivyo utakanyaga bidhaa zilizotandazwa hapa.
Haijalishi maduka ya eneo hili yanayolipa kodi kiasi gani na yanauza bidhaa gani wafanyabiashara hao wadogo wamekuwa wakipanga mbele ya maduka hayo bidhaa yoyote wanayohisi inalipa.  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.