| Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo (kulia) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa na Hashim Donode. |
| Rappa Joniko Flower akifanya yake jukwaani huku Digna Mbepera na Sony Masamba wakionyesha umahiri wao wa kusebeneka. |
| Muziki mzuri na watu wastarabu si pengine ni Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar kila siku za Ijumaa kuanzia saa usiku na kuendelea. |
| Winfrida Richard akifanya yake jukwaani huku akipewa sapoti na Digna Mbepera. |
| Mheshimiwa Bundala kama kawaida yake ndani ya Vest. |
| Sam Mapenzi a.k.a Sukari ya warembo akililiwa asipande jukwaani na mashabiki wake. |
| Kijana mtanashati kutoka kundi la Wadananda akiwa amestarehe kwenye kiti kutegeshea mrembo wa kucheza naye mdaura hapo kati..! |
| Mdau Gerald Kilimo akiwa na mfanyakazi mwenzake walikuja kupunguza stress za kazi na burudani ya Skylight Band. |
| Wadau wa Skylight Band na Ukodak. |
| Wadau wa Skylight Band na Msanii Hashim Donode katika picha ya ukumbusho. |
| Mama Kisso wakipata Ukodak na Aneth Kushaba AK 47 a.k.a Mjasiriamali mpango mzima wa kupendeza kichwani unaweza kumwona yeye...! |
| Aneth Kushaba akibadilishana mawazo na Mtangazaji wa kipindi cha Mama land Benny Kinyaiya wa Clouds fm. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment