ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, December 10, 2013

PICHA 3 TU ZA MAADHIMISHO SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA.

Watoto wa halaiki wakijiandaa kuingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika.
Sehemu ya uwanja wa uhuru.
Gwaride la heshima likipita mbele ya amiri jeshi mkuu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete katika maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. PICHA ZOTE NA JIMMY JAM

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.