ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, December 30, 2013

KONYAGI WAFANIKISHA MASHINDANO YA KAWABWA CUP

Meneja wa masoko wa kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe,(Kulia) akimkabidhi kepteni wa timu ya Mwambao Selemani Lugono baada ya timu hiyokuibuka washindi wapili katika ligi ya kawambwa cup iliyomalizika Mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki Wanaoshuhudiakutokakulia ni Mbunge wa jimbo hilo Dr. Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT Idi KIpingu. 
Picha na mpiga pichawetu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.