![]() |
| Ni moja kati ya vimbwanga utakavyokutana navyo kwenye matukio ya usaili jinsi ulivyokuwa jijini Mwanza. |
![]() |
| Chekshia watu wanavyopambana. |
![]() |
| Moja kati ya michezo ya akili na uwezo wa kiafya iliyotumika kuwasaili washiriki mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba. |
![]() |
| Mtu mzima anatambaa... |
![]() |
| Abbas ni mmoja kati ya washiriki akipanga vipande ya herufi kukamilisha neno Dume Challange ambapo mshindi kitaifa safari hii ataibuka na kitita cha shilingi milioni 20. |
![]() |
| Timu ya Dume iliyofanikisha michakato ya kuwaongoza washiriki wa usaili Dume Challenge Season Two mkoa wa Mwanza. |
![]() |
| Waratibu wa Dume Challange wakifuatilia usaili. |
![]() |
| Mwelimishaji wa Dume Condom Antho Kilimasiga akitoa darasa kwa wadau wa ulinzi walioshiriki kusimamia zoezi zima la usaili uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. |
![]() |
| Antho Kisimali akifunguka zaidi kwa wadau hao wa ulinzi juu ya matumizi sahihi ya Condom. |
![]() |
| Mzigo mezani. |
![]() |
| Mwanaume kamili anajali.... |
![]() |
| G. Sengo (L) na John Kitime (R), Ni majaji wa Usaili wa Dume Challenge Season Two mkoa wa Mwanza, Isubiri kwenye luninga yako utaiona......!! |
Tupe maoni yako












0 comments:
Post a Comment