ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 3, 2013

SAID MBELWA KUMVAA SHABANI KAONEKA November 10

SHABANI KAONEKA


November10 katika ukumbi


Mpambano huo wa raundi 8 umekuwa gumzo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kama vile Chanika,Ilala,Manzese,Mabibo na Kinondoni kutokana na umaili wa mabondia wenyewe

katika mchezo huo siku hiyo kutakuwa na mapambano ya utangulizi  ambapo bondia
Twaribu Mchanjo ataoneshana kazi na Mohamedi Kashinde uku Chilambo Hemed akivaana na  Sharif Mzezele na bondia mahachari Hamza Mchanjo akioneshana umwamba na  Tonny Kabeo bondia tishio katika uzito mwepesi Adamu Ngange atapambana na  Shabani Mtengela  na Said Uwezo akichuana na  Paul Rabiano

mpambano huo wenye ushinani wa kila pande za jiji  unatarajia kutikisa jiji kutokana na mabondia wote kuwa na viwango vya juu

pia siku hiyo kutakuwa na uzinduzi rasmi wa DVD za bondia Said Mbelwa akicheza nje ya nchi na bondia  Hamid Rahimi lililofanyika Loya Gerga, Kabul, Afghanistan jingine ni kati yake na Balazs Kelemen lililofanyika  katika ukumbi wa
 Messzi István Sporthall, Kecskemet, Hungary pamoja na lile lililofanyika katika ukumbi wa  Sporthall, Galanta, Slovakia akipambana na Tamas Kovacs na mpambano mwingine aliyecheza na Bernard Donfack katika ukumbi wa
 Saarlandhalle, Saarbruecken, Saarland, Germany
mapambano yote hayo makubwa
ni kwa ajili ya kuwaonesha mabonia wa Tanzania kuwa ukikazania mchezo wa masumbwi pia unaweza kukutoka kimaisha na kukufanya uzunguke dunia kwa ajili ya kushiliki michezo mbalimbali ya masumbwi Duniani

Mbelwa kwa sasa ndie bondia anaetamba katika kusafili kwa kushiliki mashindano mengi ya nchi za nje kutokana na kukubalika kwake na kujijengea mahusiano mazuri na nchi mbalimbali alizowai kwenda kushiliki mashindano makubwa likiwemo lile la  Kabul, Afghanistan 
lililofanyika kwa ajili ya kurudisha amani nchini humo 

DVD hizo na nyingine mbali mbali zitakuwa zikiuzwa kama mpambano wa EVANDER HOLYFIEL VS RIDDICK BOWE YA TAREHE 13,NOVEMBA,1992,MUHAMMAD ALI  VS  JOE FRAZIER

Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
 
DVD hizo za ngumi kali zitakuwa zikiuzwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
 
Pamoja na kutambua sheria na taratibu za mchezo huo siku hiyo pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo huo wa masumbwi vitakavyotolewa  zawadi kwa mabondia na Kocha Super D  ambaye ameweka ahadi ya kugawa, Gum Shit ,Clip Bandeji,DVD za Mafunzo kwa mabondia, Bukta,Protector na vifaa mbalimbali kwa mabondia watakao onesha uwezo wa ali ya juu wa kutupiana masumbwi
DVD KWA SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D'
Photojournalist at Majira, Bus
iness Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
mhamila1@gmail.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938, +255713406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.