Wachezaji wa Pool,wapenzi na mashabiki wa mchezo wa Pool wa Mkoa wa Dodoma wakiwapokea wachezaji wa timu ya Taifa ya Safari Pool kwa mbwembwe za aina yake na matarumbeta mara baada ya kuwasili mkoani humo wakitokea Malawi kwenye mashindano ya Pool ya Afrika ambapo walipata ubingwa wa mchezaji mmoja mmoja(Singles) na nafasi ya tatu upande timu juzi.

Mchezaji wa timu ya taifa ya Safari Pool, Patrick Nyangusi akisalimia wapenzi na mashabiki wa jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili kwenye Party ya kupongezwa iliyokuwa imeandaliwa katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam jana.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment