Peter Fabian (mwenye koti ya brown) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu baba yake mzazi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza. |
Ndugu wa marehemu wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu. |
Kusanyiko katika ibada ya mazishi nyumbani alikozaliwa marehemu. |
Ibada ikiendelea. |
Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye yake makazi ya milele. |
Kaka wa marehemu akiweka mchanga. |
Peter Fabian ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania na Mzawa la jijini Mwanza akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu baba yake. |
Huduma muhimu katika ibada ikiendelea. |
'Kwaheri' ni kauli ambayo inamtoka mama huyu. |
G. Sengo iliwakilisha kwenye msiba huu. |
Dada wa marehemu. wakiweka mashada ya maua. |
Watoto wa kiume wa marehemu. |
Mtoto wa marehemu ambaye ni kaka mkuu naye akiweka shada la maua kwenye kaburi. |
Wajukuu wa marehemu. |
Kaka wa marehemu. |
Mwakilishi wa wanahabari Mwanza Albert G. Sengo naye akiweka shada la maua kwenye kaburi la baba wa mwandishi wa habari mwenziye. |
Mwisho kabisa Shangazi alikuwa na neno kwa wana familia. (Sauti kuwajia punde) |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.