TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Toleo La leo;
SAMSUNG YALETA UHAKIKA NA MFUMO WA “E-WARRANTY”.
“Mfumo wa E-Warranty yawasaidia wateja wa
Samsung kishinda zawadi mabalimali”
Alhamisi, October 3 2013;
Dar es Salaam:
Kwa mara nyingine tena Kampuni ya Samsung Tanzania imechezesha droo ya mfumo
wake wa “E-Warranty”, washindi walitangazwa katika hafla iliyoandaliwa katika
Stendi Kuu ya Mwenge, jijini Dar es Salaam. Mfumo huu wa “E-Warranty ni mbinu
inayotumiwa na Kampuni ya Samsung kama jinsi ya kukumbana na bidhaa feki
zinazopatikana kwenye soko la Tanzania.
Mfumo huo wa
e-warranty unawasaidia wateja kujua kama simu ya Samsung ni halali au ni feki.
Wateja wanapaswa kusajali simu zao pale wanapozinunua na hivyo kupata dhamana
ya miezi 24.
Meneja Mkuu wa Samsung Tanzania, Bwana Kishor Kumar akizungumuza na waandishi wa habari alisema
“Mfumo wa E-Warranty imeonyesha kwamba ni mbinu bora zaidi dhidi ya kukumbana
na bidhaa feki kwani wateja wengi wanasajili simu zao. Tunawahimiza wateja
wetu waendele kutuunga mkono kwa kununu
bidhaa bora na kuzisajili na hivyo kupata nafasi ya kujishindia bidhaa kabambe
za Samsung katika droo zetu”.
Washindi wanaweza
kushinda zawadi 1 kati ya hizi 10: Televisheni 1 aina ya LED ya inchi 32,
laptop 1, Kamera 3, home theatre 3 na simu 2 aina ya Galaxy Grand.
Bwana Kumar
aliendelea kusema “ Licha na kujua kama simu mteja anayotaka kununua ni bora au
feki, mfumo wa e-warranty unawasiadia wateja kujua kama simu hiyo inadhama ya
miezi 24, kama simu hiyo inatafutwa au imeibiwa na kama simu hiyo ni mpya au
imeshatumika”.
Kujua kama simu ni
halali, mteja anatakiwa kufuta maelekezo yafuatayo: Tuma ujumbe na neno ‘Check’
ikifuatiwa na alama ya nyota (*) kisha namba ya IMEI, ikifuatiwa
na alama ya reli (#) na kutuma kwa namba ‘15685’. Ujumbe unatumwa
moja kwa moja kuelezea hadhi ya simu hiyo ya Samsung.
“Mfumo huu wa
e-warranty ulianzishwa haswa kukabiliana na changamoto moto inayoikumba soko la
simu za mkononi huku Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ambapo kuna simu
nyingi ni za bandia, za wizi, zilizotumika na simu ambazo hazina dhamana”,
alisema Bwana, Kumar.
Bwana Kumar
alimaliza kwa kusema ‘ili kuboresha huduma zetu za mfumo wa e-warranty, wateja
watakaonunua simu aina ya Galaxy S 4 (iliyozinduliwa mwezi huu jijini Dar es
Salaam), watapata huduma mpya inayoitwa ADH. ADH (Accidental Damage from
Handling), ni huduma inayoilinda simu hiyo ya S 4 kutoka uharibifu kutokana na
matumizi ya kawaida’.
Ilikujiunga na
huduma ya ADH, wateja wanatakiwa kujisajili na mfumo wa e-warranty na usajili
untakiwa kufanywa ndani ya siku 30 tangu kununuliwa kwa simu. Athari ya
kutokujiunga na mfumo wa e-warranty kwa muda unaotakikana ni kwamba simu hiyo
ya S4 haitaweza kutengenezwa kwa bure pale ambapo itaharibika.
Baada ya Draw washindi waliobahatika ni;
1. Mshindi wa Kwanza:
Jina Kamili:
Anatokea:
2. Mshindi wa Pili:
Jina Kamili:
Anatokea:
3. Mshindi wa Tatu:
Jina Kamili:
Anatokea:
4. Mshindi wa Nne:
Jina Kamili:
Anatokea:
5. Mshindi wa Tano:
Jina Kamili:
Anatokea:
6. Mshindi wa Sita:
Jina Kamili:
Anatokea:
7. Mshindi wa Saba:
Jina Kamili:
Anatokea:
8. Mshindi wa Nane:
Jina Kamili:
Anatokea:
9. Mshindi wa Tisa:
Jina Kamili:
Anatokea:
10. Mshindi wa Kumi:
Jina Kamili:
Anatokea:
Kwa maelezo zaidi
wasiliana na;
Sylvester Manyara,
Meneja wa Mauzo na Usambazaji,
Mobile; +255 683 984 215,
Email; (s.nteere@samsung.com).
Kuhusu Samsung;
Samsung inafahamika Dunia nzima kwa teknolojia ya kisasa,
inatengeneza bidhaa bora kabisa kwa kuzingatia mazingira halisi ya Afrika.
Samsung ina idara tatu ambazo ni Samsung
Mobile inayohusika na simu za mkononi za Samsung za aina zote. Samsung Electronics inayohusika na
vifaa vya Samsung majumbani kama Viyoyozi, majokofu, mashine za kufulia etc. Na
mwisho kabisa Samsung IT inayohusika
na laptop, mashine za nukushi (photocopy), na kamera. Kwa maelezo zaidi
tembelea www.samsung.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.