ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 14, 2013

TASWIRA ZA RAIS KIKWETE ALIPOTUA IRINGA KUHUDHURIA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA



Taswira mbalimbali za Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.