ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 6, 2013

NANI ATAKUWA MTIZAMAJI WA MILIONI MOJA WA G. SENGO BLOG?

Nasema asante sana kwa kuwa mdau namba moja kuutembelea mtandao wetu (gsengo blog).
Ninaamini mmekuwa changamoto kubwa kwangu kusota kila siku na kuhakikisha mtandao huu unakuwa na habari mpya mpya..... 

Kasoro mlizokuwa mkiziona na kuzianisha awali imekuwa sehemu ya maboresho, kiasi kwamba nayo timu ya marafiki wema wa IT nao walihamasika na wakashiriki kunakshi na kuboresha mwonekano wa mtandao huu.

Shukurani sana kwa wadhamini mbalimbali na wafanyabiashara wanao tumia mtandao huu kutangaza biashara na huduma zao, ni naamini kuwa wanajua faida ya kuwa ndani ya mtandao huu kwani umekuwa msaada tosha katika tasnia ya upashaji habari hivyo wanapo thubutu kutinga hapa baaas... wadau wanapata ujumbe kusudiwa.

Biashara ni Matangazo:-
Ewe mfanyabiashara au mtoa huduma tangaza nasi sasa kwani  milango iko wazi.
Kwa wale wote wenye nia ya kutangaza au kudhamini mtandao huu unaotizamwa na watu wengi sasa nchini na nje ya nchi.

Kikosi kazi kitafanya vile inavyopaswa, na ni yetu matumaini kuwa ujumbe utafika nayo huduma yako itasonga mbele. 

Says Albert G. Sengo 
CEO:-  g sengo blog.
Thanx.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.