![]() |
Harusi za Nigeria ni moja kati ya sherehe zinazofana sana barani Afrika kutokana na mpangilio wa muonekano sambamba na ubunifu katika mavazi. |
![]() |
Kila mmoja hujituma katika kufanikisha sherehe ya harusi ndiyo sababu huwa bombaa.. |
![]() |
Kila kukicha vihusishi kama keki huwa ni vya style ya aina kwa aina. |
![]() |
Sare ni moja kati ya misingi inayozingatiwa. |
![]() |
Ni taswira ambazo huto choka kuziangalia. |
![]() |
Heshima katika sare na wenye sare. |
![]() |
Rangi hupendezesha mazingira kuwa na mwonekano wa mvuto zaidi. |
![]() |
Chekshia kuanzia style ya nguo ushonaji, maua walobeba hadi style za nywele. |
![]() |
Hapa je.. |
![]() |
Safi. |
![]() |
Utaipenda. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.