Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akizungumza na wananchi waliojitokeza leo kwenye uzinduzi wa wiki ya utalii ambapo kitaifa maonesho yanafanyika jijini Mwanza. |
Mkuu wa kamati ya kukuza utalii mkoa wa Mwanza naye alipata fursa kuzungumza na wananchi nia na madhumuni ya kulitangaza jiji la Mwanza lifahamike katika sekta ya Utalii. |
Mila na tamaduni nazo ni sehemu ya utalii.. |
Ngoma za watu kabila la Wasukuma bila nyoka au fisi haijakamilika. |
Nyoka surualini...tobaaaaa... |
Mkuu wa mkoa katika pitapita kukagua shughuli mbalimbali za mabanda ya wajasiliamali hakutoka kapa, alizawadiwa. |
Moja kati ya bidhaa ambazo ni utalii. |
Mavazi na mapambo. |
Umeona. |
Wou...!! |
Wanyama... |
Haujaonaaaa...!! |
Masai. |
Banda la Wizara ya Maji. |
Afrika kabisa. |
Mkuu wa mkoa Evarist Ndikilo alipotembelea banda la Ofisi za jiji la Mwanza. |
Tuzo mbalimbali iliyopata mkoa wa Mwanza |
Maelezo zaidi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.