| Mmoja wa marafiki wa TGNP kutoka nchini Kenya (aliye simama) akiwasilisha mada kwenye Tamasha la jinsia 2013 linalofanyika viwanja vya TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam. |
| Washiriki wa Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 linalofanyika viwanja vya TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai kwenye semina mbalimbali zinazowasilishwa kwenye tamasha hilo. |
| Kundi la watoto nalo lilipata fursa ya kufundishwa masuala mbalimbali katika tamasha hilo. Pichani watoto wakiwa katika somo la vitendo namna ya kuandaa moja ya vyakula rahisi. |
| Kundi la watoto nalo lilipata fursa ya kufundishwa masuala mbalimbali katika tamasha hilo. Pichani watoto wakipata mafunzo kwa mmoja wa wawasilishaji mada kutoka TGNP (aliyesimama kushoto). |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment