Rais Barack Obama na mwenzake wa Iran, Hassan
Rouhani, wamezungumza kwa simu kwa muda wa robo saa; na kwa mujibu wa
Bwana Obama walieleza azma yao ya kutatua mzozo wa muda mrefu kuhusu
mradi wa nuklia wa Iran.Taarifa kutoka Iran zinaonesha kuwa tukio hilo limefurahiwa nchini humo, hasa kati ya washauri wakuu wa Bwana Rouhani.
CHANZO: bbc Swahili.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment