ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 4, 2013

POOL YAGUSWA NA HUDUMA YA AFYA IRINGA.


Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(wa pili kushoto) akiwa kwenye maadamano na wachezaji wa Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa wakelekea katika Hospitali ya Rufaa ya Manispaa ya Iringa  kutoa msaada wa vitu mbalimbali kabla ya kuanza mashindano hayo jana.

Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(kulia) akiwa kwenye maadamano na wachezaji wa Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa wakisubili kurusiwa kuingia katika Hospitali ya Rufaa ya Manispaa ya Iringa  kutoa msaada wa vitu mbalimbali kabla ya kuanza mashindano yao jana.

Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(kushoto) akimkabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Manispaa ya Iringa, Rustila Tung’ombe  baadhi ya vitu walivyotoa msaada katika Hospitali hiyo ambavyo ni pamoja na Sindano,Cloves,Sabuni na Machungwa kabla ya kuanza kwa mashindano ya  Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa jana

Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(katikati) akicheza pool kuashilia uzinduzi wa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa  yanayofanyika katika Ukumbi wa Olfare mkoani humo jana.

Mchezaji wa kike wa Pool wa mkoa wa Iringa, akimkabidhi mama na moto zawadi ya Sabuni na machungwa kama pole wakati vilabu vya mkoa wa iringa vilipokwenda kutoa pole  na vifaa mbalimbali kwa wagongwa kabla ya kuanza kwa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa yalioanza jana mkoani humo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.