Sukari kilo 100
Mchele kilo 100
Unga wa Sembe kilo 100
Vyandarua 100
Shuka pea 100 ambapo ni idadi ya shuka 200
Biskuti kwaajili ya chai na viburudisho vya soda
Vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 3.2
Ni vyakula kwa kituo.. |
Ni wadau wawakilishi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima kutoka mikoa ya Zanzibar, Arusha, Dar, na Mwanza. |
Matandiko kama shuka na neti ni sehemu ya msaada. |
Ni Biskuti kama viburudisho kwa watoto. |
Sukari kilogram 100 kwaajili ya kituo. |
Hakika ilikuwa siku yao njema kufurahi pamoja kwa watoto wa kituo hiki kilichoanzishwa zaidi ya miaka 15 iliyopita, ambapo kwa sasa kina watoto 108. |
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima Tanzania walipata fursa ya kuzungumza ana kwa ana na watoto wa Kituo cha cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya watoto wa Afrika |
Kila mmoja na mtoto wake. |
Furaha na watoto. |
Picha ya Group. |
Neno la shukurani kwa mapokezi yaliyoonyeshwa na watoto na uongozi wa kituo kwa wadau wa Usimamizi wa Shughuli za Bima. |
Bango la kituo cha nyumba ya Kituo cha kulelea watoto yatima cha Watoto wa Africa. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.