![]() |
| Jay Moo akitoa burudani kwa mashabiki waliohdhuria shindano hilo la kumsaka mkali wa Freestyle na Dj Mkali wa Mwanza lililofanyika ndani ya Villa Park Mwanza. |
![]() |
| Hapa ni fainali... Frank Kalebu akimchana Nchana Anthony ambapo mwisho wa siku Nchana ndiye aliyetawazwa kuwa mshindi. |
![]() |
| Ni nusu fainali ya Frank Kalebu na brother mwingine. |
![]() |
| Ni nusu fainali ya Nchana Anthony na mjunki mwingine. |
![]() |
| Safu ya majaji na hapa Mtayarishaji wa muziki nchini Ramal akitoa max zake kwa moja ya washindani. |
![]() |
| Meza ya majaji iliketi katikati ya ukumbi kushuhudia barabara tukio. |
![]() |
| Shangwe za mashabiki zilikuwa zikilipuka kila mara kiasi cha kulifanya shindano hilo kuwa na msisimko wa aina yake. |
![]() |
| "Umeona yule yule yuko tite....!!" jaji namba mbili Ramal akizungumza na Jaji mamba moja Dj Jeff Jerry. |
![]() |
| Frendz wa Dj Ben wakimbeba juu juu Dj Ben mara baada ya kutawazwa kuwa champion wa kinyang'anyiro hicho. |
![]() |
| Cabinet ya STR8MUZIK ikimkabidhi ngao ya Uchampion Dj Ben. |
![]() |
| Ramal akitangaza mshindi wa Freestyle 2013. |
![]() |
| Shangwe za mashabiki na ma-style yao ya kuketi.... |
![]() |
| Cabinet ya STR8MUZIK ikimkabidhi ngao ya Uchampion wa Freestyle Nchana Anthon. |
![]() |
| Cabinet ya STR8MUZIK ikimkabidhi zawadi ya mixing machine champion wa Madj Dj Ben. |
![]() |
| Picha ya pamoja na washiriki wa fainali ya Madj, Dj Ben (kulia) na anayefuata ni Dj No 2 Said Abdalah. |
![]() |
| The area at Villa Park Mwanza. |
![]() |
| We... |
![]() |
| Kutoka kushoto ni G. Sengo, Dj Maliz na Philbert Kabago. |
Tupe maoni yako




















0 comments:
Post a Comment