![]() |
| Frendz wakishow love kwa flash ya blogu hii. |
![]() |
| Mashabiki wakitinga ndani ya Villa Park Mwanza kumshuhudia kinyang'anyiro cha kumsaka mkali wa kuchana na dj mkali Mwanza |
![]() |
| Hapa ndani kulikuwa na vinogesho lukuki....toka kwa wadhamini wa kumsaka mkali wa kushika 'gunzi' na dj bora. |
![]() |
| Haya ndiyo mazawadi .... |
![]() |
| Washindani.... |
![]() |
| Washindani engo two. |
![]() |
| Washindani engo three. |
![]() |
| Washindani engo four.. |
![]() |
| Friends na bata zao kwa meza. |
![]() |
| Customer care ya STR8MUZIK. |
![]() |
| Washiriki wa kinyang'anyiro cha kumsaka mkali katika Freestyle walipiga kura kupata nani ataanza na nani... |
![]() |
| Nao ma Dj wa kinyang'anyiro cha kumsaka mkali katika One n' two walipiga kura kupata nani ataanza na nani... |
![]() |
| Sasa majaji na mashabiki wako tayari..... ITAENDELEA... |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment