| Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam kushoto ni Eddo Sanga na Hasani Moshi. |
| Tumba, bass na solo shughulini... |
| Wapuliza hara wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa sikukuu ya idi kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande. |
| Saddy Ally akiwajibika katika drums... Picha na SUPER D |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment