Kwaneema Fm inarejea hewani ikiwa bado mmiliki wa kituo hicho Askofu Bishop Mpemba anasakwa na jeshi la polisi Mwanza na huku akiwa hajulikani wapi alipo.
Bishop huyo anakabiliwa na mashtaka ya kujibu kwa kuchapisha DVD inayoitwa 'INUKA CHINJA ULE' inayotajwa kuwa na uchochezi wa kidini ndani yake.
Radio Kwaneema Fm 98.20 Mhz ya jijini Mwanza imeanza kusikika hewani kuanzia jana Jumatano August 28/2013 majira ya saa 11alfajiri chini ya masharti waliyopewa na TCRA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.