Ni majembe ya Yanga kutoka kushoto ni Jerry Tegete, Nizar Khalfan na Didier Kavumbagu.. wanasema kuwa wamejiandaa vyema kwa mchezo wa marudiano hii leo dimba la CCM Kambarage Shinyanga. |
Karibia mkoani Shinyanga kwaajili ya mchezo wa marudiano leo baina ya Yanga na KCC toka nchini Uganda |
Ni katika barabara ya Airport ya mjini Shinyanga hatua chache kuingia Shy town. |
Msafara wa bodaboda... |
Ni wachezaji wa KCC ndani ya basi lao...wakiimba nyimbo za kuchagiza ushindi kwa mchezo wa leo. |
Gari la wazi lililobeba kombe la Ubingwa la Dar es salaam Young African na shamrashamra zake. |
KCC wakiingia hoteli waliyofikia. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.