Taarifa za nini chanzo kwa mauti ya mwandishi huyo bado hakijatajwa ingawa kuna taarifa za utata za hapa na pale zikigongana kwa kifo hicho cha ghafla, kwa baadhi wakisema kuwa marehemu alinyweshwa sumu, hatua iliyopelekea baadhi ya wadau wake wa karibu hususani waandishi wenzake wakishinikiza ifanyike 'postimotum' kubaini kilichoondoa uhai wa Jackline.
Kesho alhamisi hatua hizo zitafanyika.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu eneo la Nyamanoro Ilemela jijini Mwanza, mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya ijumaa 26/07/2013 hapa hapa jijini Mwanza.
Taarifa zaidi utazipata hapa.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake Lihimidiwe.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.