![]() |
| Padre akiongoza ibada kumuombea marehemu Humphrey Simon iliyofanyika jana nyumbani kwao Makoko Musoma mjini. |
![]() |
| Mbunge wa Musoma mjini Mhe. Vicent Nyerere (katikati mwenye suti nyeusi) alihudhuria ibada hiyo sambamba na mazishi. |
![]() |
| Waumini walishiriki meza ya bwana katika ibada hiyo ya kumuombea marehemu. |
![]() |
| Meya wa Manispaa ya Musoma Alex Kisusura akishiriki meza ya bwana. |
![]() |
| Mmoja ya viongozi wa kampuni ya mawasiliano ya tigo akishiriki meza ya bwana. |
![]() |
| Kusanyiko kwenye ibada nyumbani. |
![]() |
| Mama Nyimbo akiongoza safu ya akinamama wenzake katika utoaji heshima za mwisho kwa mwili wamarehemu. |
![]() |
| Sambamba wananchi wengine Mbunge wa Musoma Mjini Vicent Nyerere akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu. |
![]() |
| Mashangazi na ndugu wa karibu wa marehemu wakitoa heshima za mwisho |
![]() |
| Heshima za mwisho zilikoma kwa safu ya wanaume kufunga zoezi hilo. |
![]() |
| Kisha safari ya kuelekea makaburini eneo la Makoko Musoma mkoani Mara ikafanyika. |
![]() |
| Mwili wa marehemu Huphrey Simon ukiwa kwenye nyumba yake ya milele. |
![]() |
| "Uliumbwa kwa udongo na mavumbini utarudi" |
![]() |
| Mke wa marehemu Bi. Neema akiweka udongo kwenye kaburi la mumewe. |
![]() |
| Mke wamarehemu akiweka shada la maua. |
![]() |
| Mjomba wa marehemu Mr. Tega akiwa na shangazi wakiweka shada la maua. |
![]() |
| Shangazi wa marehemu. |
![]() |
| Mbunge wa Musoma mjini Mhe. Vicent Nyerere akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Humphrey. |
![]() |
| Meya wa Manispaa ya Musoma Alex Kisusura akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Humphrey. |
![]() |
| Mtoto wa marehemu akiweka shada la maua. |
![]() |
| Picha ya pamoja ya wanandugu akiwepo mke wa marehemu (wa 3 kutoka kushoto) mbele ya kaburi . |
![]() |
| Mtoto wa marehemu Huphrey Simon akiweka shada la maua juu ya kaburi la baba yake. |
![]() |
| Marafiki wa marehemu. |
![]() |
| Jina la bwana lihimidiwe. |
Tupe maoni yako

























Ooooh masikini cheusi mangala R.I.P RAFIKI May ur soul rest in internal peace heaven. AMEN
ReplyDeleteIRENE KILLENGA