![]() |
Miss Lake Zone 2013. |
![]() |
Safu ya kinyang'anyiro. |
![]() |
"....mwishoni mwenyewe inakudedisha...puuuh..!!! Ommy Dimpoz |
![]() |
Ommy Dimpoz na shabiki wake. |
![]() |
Wametokelezea... |
![]() |
Meza kuu ikiongozwa na Nabu waziri wa Mawasiliano sayansi na taknolojia January Makamba (kushoto), Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (katikati) na Katibu wa CCM Ilemela Ole Polokwa. |
![]() |
Michael Rose aliiwakilisha vyema Uganda kwa kutoa burudani safi ya mtakato. |
![]() |
Show yake imekwenda shule. |
![]() |
Cool... |
![]() |
Nice pic ya warembo katika Miss Lake zone 2013 |
![]() |
Hapa anatambulishwa Redds Miss Photogenic. |
![]() |
Ndiye huyu.... |
![]() |
Mikogo naminato.. |
![]() |
The pose. |
![]() |
Wow.. |
![]() |
Redds Miss Talent aliyeshinda taji hilo kwa mwaka 2012 Baby Kalaa alionyesha ufundi wake wa kucheza na nyoka. |
![]() |
Majaji wakiwa bize. |
![]() |
Nabu waziri wa Mawasiliano sayansi na taknolojia January Makamba akikabidhi moja ya zawadi toka Bat Electronic kwa mshindi wa pili. |
![]() |
Miss lake zone 2013... |
![]() |
Ma Mc wa Miss lake zone 2013 |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.