ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 27, 2013

REDDS MISS LAKE ZONE 2013 WATEMBELEA OFISI ZA JIJI LA MWANZA, MEYA AWAPA DARASA KUJITAMBUA

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akiwa na waandaaji wa Miss Lake Zone 2013 kuanzia kulia ni Clara wa Clara Salon & Boutique na Mr. Kimu na kushoto ni afisa habari wa ofisi ya jiji la Mwanza Joseph Mlinzi wakati walipo tembelea ofisi za jiji kujionea shughuli mbalimbali.


Chakula cha pamoja na warembo wa Miss lake zone 2013 mara baada ya ziara ya kutembelea ofisi za jiji la Mwanza.


Ikiwa ni saa chache kabla ya kupanda jukwaani kuchuana warembo hao walipewa darasa kujitambua kujua majukumu wanayopaswa kuyatimiza kwa jamii ili kuleta maana ya wao kuwa mabalozi wa eneo la Kanda ya ziwa.


Pozi mara baada ya kumaliza mazungumzo na darasa kwa warembo hao.


Wanasifa za usikivu na utulivu hivyo wanaweza kuwa viongozi wazuri.


Of Coz na ujanja pia.


Picha ya pamoja na Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza.


Ofisi za jiji la Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.