| Vyuku wauzwao... |
| Wachunaji na area yao. |
| Kazi za mchangani za Mbuyu Twite....? |
| Vitu vya Green... |
| Mboga mboga hata kwa wageni.... |
| Taka zilizojikita nyuma ya soko zinasababisha wafanyabiashara wapangao bidhaa chini kwenye matandiko sokoni hapa kushindwa kufanya shughuli zao kwa uhuru zaidi. |
| Taka zimeziba njia ambayo vile vile ilikuwa ikitumika kwa biashara ikiacha nafasi finyu kwa wajasilia mali, hali inayosababisha wafanye biashara wakibanana huku wakihofia afya zao. |
| Hayo yanatukia kipindi wananchi nao wanajibidiisha kushiriki zoezi la kusafisha mji kila wiki ya mwisho ya mwezi lililo asisiwa na Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia Meya wake Stanslaus Mabula.. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment