ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 17, 2013

LUCY CHARLES NDIYE REDDS MISS MWANZA 2013/14!!

Redds Miss Mwanza 2013 Lucy Charles katikati, Kushoto ni Judith mshindi wa pili na kulia ni Suzan Ikombe mshindi wa tatu

Edna Selestine- Vazi la Usiku

Hajra Mohammed- Vazi la Ubunifu

Lucy Charles- vazi la Ufukweni

Lucy Charles- Vazi la Usiku

Chegge na YP wakipagawisha mashabiki

Mashidonge- akicheza na Moto

Mashidonge- akila moto

Rose Peter- vazi la Ububifu

Rose Peter- akionyesha kipaji cha kucheza

Suzan Ikombe- Vazi la ubunifu

Victoria Newton- vazi la Ubunifu
Warembo katika vazi la Ufukweni

Top 5 miss Mwz katika mataji tofauti

Mrembo Esta akiuulizwa swali na Miss Nyamagana 2012 Aisha Eddy

Warembo Lucy Charles na Judith wakisubiri mmoja wao kutangazwa mshindi
Snura- akipagawisha mashabiki wake

Washindi wa Redds Miss Mwanza 2013,


Redds Miss Mwanza 2013/14 ni Lucy Charles
Kinyanganyiro cha kumtafuta mnyange wa mkoa wa Mwanza kwa mwaka 2013, kiliteguliwa usiku wa ijumaa baada ya Mrembo Lucy Charles msomi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino, kuwabwaga warembo wengine 13 waliojitokeza.
Nyota ya mrembo huyo ilianza kuonekana mapema, katika mavazi yote aliyovaa, lakini zaidi aliwapagawisha mashabiki wa urembo waliofurika katika ukumbi wa Yatch club baada ya kujibu swali kwa ustadi lililouliza Ni changamoto ipi kubwa walionayo vijana wa leo.
Mshindi wa pili katika shindano hilo ni Judith Josephat na mshindi wa tatu ni Suzan Ikombe.
Washindi hao watawakilisha mkoa wa mwanza katika shindano la kanda mwishoni mwa mwezi huu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.