ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 12, 2013

JIJI LA MWANZA BADO NI BIKIRA KWA MAJENGO

Jiografia kutoka kiunga cha Nera hadi Mwaloni jijini Mwanza. 

Eneo la ofisi za jiji la Mwanza na zingira ya karibu.

Jiografia ya Furahisha na uwanja wa CCM Kirumba.

Jiografia ya Kirumba na milima ya Kabuhoro.

Kirumba, Furahisha na eneo la Ghana kwa mbaaali (tizama winchi la rangi ya njano) kunakojengwa soko jipya la Machinga Comlpex Mwanza. 

Kanisa katoliki Kirumba ( jengo kubwa katikati) na kilima kilichozunguka.

Nyakahoja na barabara ya Balewa.

Nera na kwingineko.

Kutoka ziwa Victoria kuelekea kilima cha karibu na eneo la kandokando ya kivuko cha kamanga.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. hiyo siyo machinga complex, hiyo ni shopping mall kama ilivyo mlimani city usitegemee mmachinga kuwa ndani humo, humo kutakuwa na mabenki, hotel, supermarkets na kumbi za cinema

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.