| Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw. Atanas Jumbe kulia akimkabizi zawadi kwa Mwakilisha wa Ofisa utamaduni wa Mkoa wa Tanga Bi,Tima Koja wakati wa promosheni ya Gapco Relstar inayoendelea katika jiji laTanga |
| Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw. Atanas Jumbe kushoto akimkabizi zawadi kutoka Kampuni ya Gapco Tanzania Bw,Amoody Amiri Koja wakati wa promosheni ya Gapco Relstar inayoendelea katika jiji laTanga jana |
Wasanii wa JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Makolola Tanga kutoka kushoto ni Omar Salimu na Jafari Halawi |
Wasanii wa JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laMkwakwani Tanga kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi |
| Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw. Atanas Jumbe kushoto akimkabizi zawadi kutoka Kampuni ya Gapco Tanzania Bw, Keya Juma wakati wa promosheni ya Gapco Relstar inayoendelea katika jiji laTanga jana eneo kwa minji |
| Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw. Atanas Jumbe kulia akimkabizi zawadi kwa Mwakilisha wa Ofisa utamaduni wa Mkoa wa Tanga Bi,Tima Koja wakati wa promosheni ya Gapco Relstar inayoendelea katika jiji laTanga jana |
| TANGA |
Wawakilishi wa Kampuni ya Gapco wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuingia Tanga kwa ajili ya promosheni ya Gapco relstar Oil. picha na Blog ya Super D |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment