ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 9, 2013

DANIEL LAMECK AMBAYE NI MWANA WA MBUNGE WA LORYA AUAGA UKAPERA, AFUNGA NDOA NA YUNIVA

Ni tabasabu la furaha kwa wawili ambao sasa wamekuwa mwili mmoja Daniel Lameck Airo na Yuniva mara baada ya kufunga ndoa takatifu siku ya jana kwenye kanisa la Sabato kirumba jijini Mwanza.


Bi harusi akiingia kanisani.


Kwaya ya kanisani hapa ilionyesha umahiri katika kulihubiri neno kwa njia ya uimbaji.


Safu ya mbele.


Bibi harusi (Yuniva) akila kiapo mbele ya kanisa.


Na sasa ikawa zamu ya bwana harusi (Daniel Lameck)


Upande huu walikaa ndugu wengi kutoka nchini Kenya nyumbani kwa bi harusi .


Kanisa lilipendeza kila kona.


Sasa ni zamu ya Daniel kumuona kwa ukaribu mkewe.


Let us pray together.


Bwana harusi akiangusha sahihi kwenye cheti cha ndoa.


Bibi harusi akiangusha sahihi kwenye cheti cha ndoa.


Maharusi wakikabidhiwa vyeti vyao mara baada ya ndoa takatifu..


Mashuhuda kanisani hapa.


Safu ya ndugu, jamaa na marafiki walio hudhuria ibada ya ndoa takatifu. 


Maharusi walipata picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili.


Marafiki na ndugu wamehudhuria tukio hili muhimu.



Safu ya wanakamati wa maandalizi ya chakula kilichoandaliwa kanisani.


Maharusi walipokelewa na umati mkubwa uliokuwa ukiwasubiri nje ya kanisa.


Picha na maharusi.


Maharusi wakipata picha ya pamoja na Edgar Mapande (kushoto) ambaye aliahidi kutolikosa tukio hili muhimu.


Kila engo.


Jiografia ya kanisani hapa.
Vuta subira kuzishuhudia pix za sherehe kamili iliyofanyika Malaika Beach Resort.

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. TUWEKEE BASI NA ZA UKUMBINI... HII NASIKIA ILIKUWA HARUSI YA MWAKA KWA MWANZA. HAKUNA ALIYEWAHI FANYA HIVI

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.