![]() |
| iHapa palikuwa pakipitika tena kulikuwa na ngazi lakini sasa njia imefunikwa na maji, ikimlazimu mteja huyu kupita pembezoni mwa sakafu la banda. |
![]() |
| Ukoka uliopandwa umejaa maji. |
![]() |
| Maji yamefika hadi hapa. |
![]() |
| Banda la mapumziko lijulikanalo kama MV Mapenzi nalo nalo maji yamelizingira. |
![]() |
| Chini kwa karibu zaidi. |
![]() |
| Huwezi kukaa nyasini. |
![]() |
| Ni eneo mbalo ukitoka nyasini unakutana na mchanga kisha maji ya ziwa lakini maji ya ziwa leo yamevamia hadi kwenye nyasi. |
![]() |
| Engo tofauti. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment