![]() |
| Hili ni eno ambalo akina mama wa kisukuma walikuwa wakilitumia kama nyenzo ya kusagia nafaka ili kupata unga au kukobolea nafaka, eneo hili limehifadhiwa yapata miaka 100 sasa. |
![]() |
| Ufugaji wa kale kwa himaya za watemi. |
![]() |
| Ngoma za asili zilizotumiwa na wanasanaa wa kabila la Wasukuma katika koo mbalimbali ngoma hizi zimehifadhiwa yapata miaka 100 sasa. |
Tupe maoni yako
















0 comments:
Post a Comment