![]() |
Ni katika stage la Villa Park Mc Zembwela akitambulisha msafara wa shughuli nzima ya Redds Miss Nyamagana itakayofanyika leo Jumamosi (11 May 2013) ndani ya ukumbi wa JB Belmonte jijini Mwanza. |
![]() |
Moja kati ya warembo 18 wa Miss Nyamagana akijitambulisha kwenye stage ya Villa Park jijini Mwanza. |
![]() |
The parade ya warembo hao. |
![]() |
Lilipigwa sebene nao hawakujivunga kulainisha nyonga. |
![]() |
Another location. |
![]() |
Mwanadada Recho tayari kesha tua jijini Mwanza kusababisha na kung'arisha kona ya burudani hii leo kwenye kinyang'anyiro cha Redds Miss Nyamagana 2013 ndani ya Hotel JB Belmont Mwanza. |
![]() |
Kisha msafara wa warembo ulielekea Club Fusion iliyopo katikati ya jiji la Mwanza. |
![]() |
Party Pipoooooooo wakishow love na kamera ya G. Sengo Blog. |
![]() |
Bata mbele ya bata.....!!!! |
![]() |
Dj Victor wa Club Fusion. |
![]() |
Naye Dj wa Clouds Tv in the house....Siwamjua? |
![]() |
Oiiii...Mzukaa. |
![]() |
This is how we do. |
![]() |
Zembwela na engo ya kutambulisha warembo ambao leo ndiyo leo mmoja wao ataibuliwa na kuvikwa taji la Miss Nyamagana 2013. |
![]() |
Ulingoni ndani ya club Fusion Recho akipenyeza upepo wake kwa shabiki wake. |
![]() |
Azontoooo!!! |
![]() |
Ni mwendo kusomeka tu!! |
![]() |
Brothers. |
Tupe maoni yako
Awesome article.
ReplyDeleteAlso visit my weblog ... whitening method